Jumapili, 20 Oktoba 2013

MAAANDALIZI YA KOMBE LA DUNIA 2014. RONALDO DELIMA ANENAAA, TIZAMA VIDEO HAPA.

Ronaldo Delima asema Brazil ni nchi ya mpira na kombe la dunia lina taswira ya Brazil
Joseph S. Bratter anena kua FIFA ipo nyuma ya brazili kuhakikisha michezo na brazili katika michezo yasonga mbele
Tizama namna wana brazil walivyo jiandaa katika ujenzi wa viwanaja kwaajili ya michezo ya kombe la dunia 2014 na matangazo mbali mbali
Walio na mzuka wasema dunia isubiri ione viwanja bora, wengine waona kombe la dunia ni kwaajili ya ulimwengu mzima kutizama
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KOMBE LA DUNIA 2014 KABUMBU SAFI MWNZO MWISHO!!!!!!!!!!!!!!!!


0 maoni:

Chapisha Maoni