Jumatano, 4 Septemba 2013

MECHI YA KIRAFIKI KATI YA AIRPORT RANGERS FC V/S MBEYA CITY COUNCIL F.C KUCHEZWA TAREHE 07/09/2013

MECHI YA KIRAFIKI KATI YA AIRPORT RANGERS FC V/S MBEYA CITY COUNCIL KUCHEZWA TAREHE 07/09/2013
Baada ya V.P.L kusimama kwa mda mpaka hapo tarehe 14/09/2013  viongozi wa Airport Rangers F.C wameamua kutumia nafasi hii kwa kuinoa timu yao kwa ajili ya mashindano yanayo tarajiwa kuanza kurindima mnamo tarehe 04/10/2013.
Uongozi wa timu ya Airport Rangers wakishirikiana vyema na uongozi wa Mbeya City Council F.c wanayo furaha kukujulisha yakua kutakua na mchezo wa kirafiki kati ya Airport Rangers F.c dhidi ya Mbeya City Council  F.c (vijana wa Mwambusi ) utakao chezwa mnamo tarehe  07/09/2013 katika uwanja wa CCM kumbukumbu ya  Sokoine Mbeya kuanzia saa 10:00 jioni mpaka saa 12:30
Wadau wa mpira mnaombwa kufika kushuhudia mchezo huu kwani kiingilio ni bure kabisaaaa
v (AIR PORT RANGERS FC, USHINDI JADI YETU).








0 maoni:

Chapisha Maoni