Jumanne, 27 Agosti 2013

Matokeo ya mechi mbali mbali Vodacom Premier League msimu wa mwaka 2013/14 Tarehe,24/08/2013



 

Young African SC  yaanza league kwa kasi kwa kuiadhibu Ashanti United mabao 5 kwa 1 Achilia mbali kujigamba kwa Ashanti United mbele ya Young African SC,na upande mwingine vijana wapya katika ligi kuu Mbeya city wachoshana nguvu na vijana walo safiri umbali mrefu toka kagera, (Kagera Sugar)

Team
RESULT
Team
stadium
Yanga SC
5:1
Ashanti UTD
NATIONAL STADIUM

Rhino Rangers
2:2
Simba SC
A.H. MWINYI

Mbeya City
0:0
Kagera Sugar
SOKOINE

Ruvu Shooting
3:0
Prisons FC
MABATINI

JKT Oljoro
0:2
Coastal Union
SH. AMRI ABEID

Mtibwa Sugar
1:1
 Azam FC
MANUNGU

Mgambo Shooting
0:2
 JKT Ruvu
MKWAKWANI





0 maoni:

Chapisha Maoni