Jumatano, 4 Septemba 2013

MSIMU WA LIGI 2013/2014 DARAJA LA TATU MKOA NA DARAJA LA NNE WILAYA MBEYA YATARAJIWA KUANZA TAREHE 04.10.2013



CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA WA MBEYA

MSIMU WA LIGI 2013/2014 DARAJA LA TATU MKOA NA DARAJA LA NNE WILAYA

Kwa mujibu wa barua KUMB.NAMBA.MREFA,MBY,05,LW,VOL.III,001  kutoka ofisi ya  katibu mkuu M.R.E.F.A ndugu  S.HAROUB.
Anapenda kuwafahamisha wana Mbeya yakua kwa mujibu wa  kalenda ya matukio ya TFF, inayo elekeza kua ligi zote za mikoa na wilaya zianze tarehe 21/09/2013 kwa msimu wa 2013/14. Timu shiriki zinatakiwa kuanza maandalizi mapema iwezekanavyo kwa kuzingatia mda ulio pangwa 
Ratiba ya maandalizi ya ligi ya  mkoa daraja la tatu na tarehe ya kuanza kwa ligi ni kama ifuatavyo

TAREHE
TUKIO
30.08.2013
Fomu za usajili kuanza kutolewa
15.09.2013
Mwisho wa kurudisha fomu za usajiri
20.09.2013
Uchambuzi wa fomu (kamati ya mashindano na viongozi wa vilabu)
21.09.2013
Kupokea pingamizi za wachezaji
24.09.2013
Kupitia pingamizi mbali mbali za wachezaji
25.09.2013
Taarifa ya wachezaji walio pitishwa katika usajairi kutangazwa
26.09.2013
Mechi ya ngao ya hisani
04.10.2013
Ligi kuanza

TIMU ZINAZO TARAJIWA KUSHIRIKI

Ø  Airport rangers fc                                 (mbeya mjini)
Ø  Tukuyu stars                                          ( rungwe)
Ø  Masukuru f.c                                         (rungwe)
Ø  Muungano F.c                                       (busokelo)
Ø  Ichenjezya F.c                                        (vywawa mbozi)
Ø  Biashara F.c                                           (mkwajuni chunya)
Ø  Chemchem F.c                                      (chunya )
Ø  Ibara F.c                                                 (rujewa)
Ø  Boma F.c                                                (kyela)
Ø  Mazombi  F.c                                          (kyela)
Ø  Super marine F.c                                    (kyela)
Ø  Opec F.c                                                   (mbalizi)
Ø  Wenda F.c                                               (mbalizi)
Ø  Sido F.c                                                    (Mbeya mjini)
Ø  Black scorpion F.c                                  (Mbeya mjini)
Ø  Magereza Ruanda F.c                            (Mbeya mjini)

                




0 maoni:

Chapisha Maoni